• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

Idara ya Afya

Tangu kuanzishwa kwa Halmashospitali moja tuu ya M hospitali ya Wilaya. Kwa sasa tuna hospitali 5. Aidha hapakuwa na Kituo cha Afya katika Wilaya, ukilinganisha na mwaka 2016 ambapo kuna Vituo (14) ambapo 7 ni vya Serikali na 7 vinamilikiwa na mashirika na watu binafsi. Zahanati zipo  60 kati ya hizo 6 ni Serikali, 52 ni Binafsi na 5 zipo katika hatua za Ujenzi .

Katika sekta ya Afya tunayo kazi kubwa ya kupambana na magonjwa yote hasa Malaria na HIV/AIDs, kwa kuzingatia hali duni ya mapato ya watanzania walio wengi na kuibuka kwa magonjwa yasiyoambukizwa kama vile Kansa, Magonjwa ya moyo na Kisukari.  

 Jukumu lililoko mbele yetu ni kuhakikisha, wakazi wote hasa wale wenye kipato cha chini wanapata huduma ya kuridhisha na Elimu ya Afya ya Msingi. Aidha tunao wajibu wa kuzingatia  zaidi suala la kinga ya magonjwa kuliko kusubiri tiba.Ili kutekeleza majukumu haya masuala muhimu yafuatayo hayana budi kuzingatiwa:-

•Kuanzisha programu maalum za kusaidia wakazi wenye kipato cha chini, ili waweze kupata huduma nzuri za afya.

•Kuendelea kutoa Elimu ya Afya ya Msingi kwa wananchi wote ili kupunguza magonjwa yanayozuilika.

•Kuendela kuwashawishi watu binafsi kutoa huduma za afya kwa gharama nafuu.


Matangazo

  • JOINING INSTRUCTION(2021) KWA SHULE ZA SEKONDARI ARUSHA JIJI December 18, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA January 07, 2021
  • Tangazo la Nafasi za kazi Halmashauri ya Jiji la Arusha July 17, 2018
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • MKUU WA MKOA WA ARUSHA AWAONYA MADIWANI NA VIONGOZI WENGINE WANAOKWAMISHA UKUSANYAJI WA MAPATO YA HALMASHAURI

    January 06, 2021
  • Mkurugenzi ,Mkuu wa Wilaya waongoza zoezi la Ujenzi vyumba vya madarasa .

    December 22, 2020
  • WAKUU WA IDARA NA VITENGO WA HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA WAPATIWA MAFUNZO YA VISHKWAMBI

    December 18, 2020
  • Serikali kuajiri vijana kupitia miradi ya ufugaji wa samaki wa njia ya Kisasa

    December 15, 2020
  • Tazama zote

Video

ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa