• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

Mkurugenzi Madeni awataka Watumishi wa Jiji la Arusha kuongeza mapato na kubana matumizi

Posted on: August 29th, 2018

Ametoa rai hiyo alipokuwa akiongea na watumishi katika kikao chake cha kawaida cha kazi ikiwa lengo kuu la kikao hicho ni kuongea na watumshi wa makao makuu ya Halmashauri ya Jiji la Arusha pamoja na kutambua changamoto mbalimbali zinazowakabili katika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha hapo jana.

Miongoni mwa mambo aliyoyasisitiza Mkurugenzi huyo ni pamoja na watumishi wa Halmashauri kufanya kazi kwa bidii na  kuongeza mapato ya Halmashauri na kubana matumizi pamoja na kuangalia maslahi ya watumishi.

“Miongoni mwa mwambo yanayozorotesha ufanisi na utendaji katika sehemu ya kazi ni majungu na fitna hivyo nichukue fursa hii pia kuwaasa watumishi wangu kujiweka mbali na vitendo hivyo kwani ni chukizo kwa Mungu na pia mnapaswa kujiwekea mipango maalum katika kufikia malengo yenu” alisema Dr. Madeni

Aidha, Mkuu wa idara ya Utumishi na Utawala Ndg. Baltazar Amedeus Ngowi alitoa fursa kwa watumishi kueleza changamoto, matatizo na maoni yao ambapo changamoto kubwa  zilizobainishwa na baadhi ya watumishi hao ni ukosefu wa kantini ya chakula hali inayopelekea usumbufu mkubwa kwa wahudumu wa ofisi kushindwa kutekeleza majukumu yao kwa wakati, ufinyu wa ofisi hasa katika idara ya elimu na motisha ndogo hasa kwa wafanyakazi katika kada za chini ambapo Mkurugenzi aliahidi kuzipokea changamoro hizo na kuzifanyia kazi mara moja.

Kikao hicho kitakuwa ni endelevu katika kila robo ya mwaka ambapo katika vipindi vijavyo Mkurugenzi Dr. Madeni pia atakutana na watumishi wengine katika ngazi za kata pamoja na idara na kada mbalimbali zilizo chini ya Halmashauri ya Jiji la Arusha lengo likiwa ni kufahamiana na kusikiliza kero pamoja na changamoto mbalimbal zinazowakabili watumishi wa Jiji hili.

Matangazo

  • Tangazo la kazi ya uandikishaji wa wateja wa mfuko wa Afya ya Jamii ulioboreshwa (IMPROVED CHF)/TIKA Tarehe: 07/02/2019 February 08, 2019
  • Tangazo la Nafasi za kazi Halmashauri ya Jiji la Arusha July 17, 2018
  • Tangazo la nafasi za kazi Watendaji wa Uchaguzi Halmashauri ya jiji la Arusha July 20, 2018
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2019 HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA December 14, 2018
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • Dkt. Madeni kukabidhiwa vifaa vya usafi na Chama cha Msalaba Mwekundu nchini Tanzania (RED CROSS) kwa ajili ya kituo cha Afya Murriet Jijini Arusha

    February 20, 2019
  • Ubalozi wa China umekabidhi vifaa tiba katika kituo cha Afya Murriet Jijini Arusha

    February 19, 2019
  • TSH. 530,000,000/= yatolewa kwa vikundi vya kina Mama na Vijana Halmashauri ya Jiji la Arusha

    February 15, 2019
  • Polepole awataka Maafisa Watendaji wa Kata nchini kushiriki katika vikao vya kamati za siasa za kata na kuwasilisha taarifa za maendeleo

    February 07, 2019
  • Tazama zote

Video

MAHAFALI YA PAMOJA KIDATO CHA NNE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ikliyokamilika
  • Mkataba wa huduma kwa wateja
  • Sisi ni nani

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter/a>

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa