• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

Mkuu wa wilaya ya Arusha mjini Mhe.Gabriel Daqarro aelekeza mambo ya muhimu kwa wakuu wa shule za Sekondari

Posted on: September 25th, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mhe. Gabriel Daqarro afungua semina ya mafunzo kwa wakuu wa shule za Sekondari za Wilaya ya Arusha yaliyokuwa yakiendeshwa na wakala wa maendeleo ya uongozi wa elimu (ADEM) leo Tarehe 25/09/2019.

Awali kabla ya Mkuu wa Wilaya kufungua mafunzo hayo Afisa elimu Sekondari wa Jiji la Arusha Mw.Valentine Makuka alisema lengo la kufanyika kwa mafunzo hayo ni kuwawezesha wakuu wa shule wapya na wazamani kupata mbinu mpya zakuongoza shule ambazo zitaimarisha usimamizi na utoaji wa elimu katika Jiji la Arusha. Jumla ya wakuu wa shule 32 wamehudhuria mafunzo hayo.

Katika ufunguzi huo Mhe.Daqarro alielekeza mambo muhimu kwa wakuu wa shule ambayo nimuhimu kuzingatiwa ili kuleta matokeo chanya katika tasnia ya elimu katika Wilaya ya Arusha.

Daqarro ameelekeza kuwepo na zoezi madhubuti la kudhibiti utoro wa wanafunzi mashuleni, hii nikuzingatia hasa hatua gani zichukuliwe ili kukabiliana na tabia ya utoro mashuleni. Walimu kutofumbia macho mabadiliko hasi ya tabia za wanafunzi mashuleni ikiwa hasa ni mahusiano ya baina ya wanafunzi kwa wanafunzi au wanafunzi na walimu mashuleni . 

Vilevile amesisitiza  kuzingatia ufuatiliaji makini wa fedha za elimu bila malipo zinazoletwa mashuleni kutoka Serikali kuu pamoja nakutoa agizo kila mwalimu afanye ukaguzi kuhakikisha hakuna fedha ilinayolipwa kwa wanafunzi hewa.

“Mkuu wa shule nae ni muwakilishi wa Serikali katika shule yake anayosimamia hivyo naomba mnapo kalia viti vyenu mkaitafasiri vyema miongozo ya Serikali” alisema Mhe. Daqarro

Lakini pia Mhe Daqarro ameelekeza walimu kupewa ushirikiano. Mwalimu apewe nafasi ya kujieleza na kusikilizwa na pia kujengewa uwezo pamoja na kuaminiwa. Rai hii imetolewa ili kuwapa  vipaumbele walimu pale wanapokuwa na kero zao hivyo kupelekea utatuzi wa kero zao.

Mafunzo hayo ya sikutatu yametayarishwa kwa ushirikiano baina ya Halmashauri ya jiji la Arusha na wakala wa elimu ADEM.

Matangazo

  • KAMPENI YA KITAIFA YA CHANJO YA SURUA-RUBELLA PAMOJA NA POLIO(IPV) September 16, 2019
  • MATOKEO YA MITIHANI DARASA LA SABA 2019 October 15, 2019
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2020 HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA December 06, 2019
  • Tangazo la Nafasi za kazi Halmashauri ya Jiji la Arusha July 17, 2018
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • “WATU WENYE ULEMAVU WAPEWE KIPAUMBELE ZAIDI KATIKA UGAWAJI WA MIKOPO” MKUU WA WILAYA YA ARUSHA

    December 03, 2019
  • JAMII YAASWA KUWA CHACHU YA MABADILIKO KUZUIA MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU

    December 02, 2019
  • WASANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA WATOA SALAMU KWA MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA

    November 29, 2019
  • WENYEVITI WA MITAA WAAPISHWA

    November 26, 2019
  • Tazama zote

Video

ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Miradi ikliyokamilika
  • Mkataba wa huduma kwa wateja
  • Sisi ni nani

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa