• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika

IDARA YA KILIMO, UMWAGILIAJI NA USHIRIKA

Halmashauri ya Jiji ina ukubwa wa  Hekta 20,800 na eneo linalofaa kwa Kilimo ni Hekta 13,520 hata hivyo eneo lililolimwani Hekta 12,265 na wakulima wapatao 112,943. Mahitaji ya chakula kwa Jiji ni Tani 124,932.6 kwa mwaka  na  uwezo wetu ni wa kuzalisha nafaka ni  Tani 21.352 na  mazao ya  mikunde ni Tani 3,875 wakati  matunda na mboga mboga ni Tani 3,468.

Kutokana na  hadhi ya Jiji tuliyonayo na pia eneo kubwa kuwa Mji tumejikita zaidi katika kuhamasisha uzalishaji wa mazao ya bustani (mboga mboga na matunda).

Shughuli hizi za Ugani zimeboreshwa zaidi kwa   kuanzisha mashamba darasa 18. (16 Ufagaji Kuku na 2 kilimo cha mboga mboga). Pia Idara ya Kilimo inaendelea  kuhamasisha usindikaji wa mboga na  matunda ili kuongeza thamani ya mazao na vikundi 4 vinaendelea kuimarishwa ili viweze kuzalisha bidhaa zenye  ubora na viwango vinavyohitaji katika soko.

 

PEMBEMBEJEO ZA KILIMO

Zinapatikana kwa wingi kwenye Maduka ya Pembejeo yaliyopo katika Jiji la Arusha. Kuna jumla ya Maduka 112 yanayouza Pembejeo mbalimbali za Kilimo kama Mbolea, Mbegu na Madawa.

Maeneo ambayo Pembejeo zinaweza kupatikana kirahisi na kwa bei nafuu ni pamoja na Kata ya Kati, Sokon I, Levolosi, Kimandolu, Baraa, Moshono na Murriet

ZANA ZA KILIMO

Zana za Kilimo zinazopatikana katika Jiji letu hutumiwa na Wakulima wote wa Jiji hili wapatao 112,943.

 

Zana hizo ni kama;

  • Matrekta – 40
  • Power Tiller – 3
  • Matrela – 19
  • Wanyama kazi – 870
  • Plau za kukokotwa na wanyama - 750

 

MATUMIZI BORA YA MBOLEA

Kila mkulima anapaswa kutumia mbolea ili kuongeza uzalishaji wa mazao. Mbolea inayopaswa kutumiwa ni ile iliyobeba virutubisho tarajiwa. Kila mkulima anapaswa kununua mbolea bora  katika maeneo yaliyoainishwa, kutunza  na kutumia kwa kufuata maelekezo.

 

MAMBO YA KUZINGATIA WAKATI WA KUNUNUA MBOLEA

  • Nunua toka kwenye kampuni iliyosajiliwa na yenye sifa za kuuza mbolea yenye ubora
  • Hakikisha mfuko wa nje ni Manila na ndani ni Nailoni ili kuzuia unyevu
  • Nunua mbolea ambayo mfuko wake una taarifa zifuatazo:
  • Jina la Kampuni iliyotengeneza Mbolea
  • Namba ya Toleo
  • Aina ya Mbolea
  • Aina na kiasi cha virutubisho vilivyo kwenye Mbolea mfano Nitrojeni 46%
  • Tarehe ya kutengenezwa
  • Tarehe ya Mbolea kuisha muda wake
  • Uzito wa mbolea iliyo kwenye mfuko
  • Tunza kumbukumbu za manunuzi na mauzio

 

Matangazo

  • KUSITISHWA KWA TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA BONDENI CITY December 06, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI March 14, 2023
  • TANGAZO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KUHUSU KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA MAOMBI YA MIKOPO YA HALMASHAURI July 14, 2022
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA August 11, 2022
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YATIA FORA UGAWAJI WA MIKOPO, YAMWAGA ZAIDI YA BILIONI 2 ZA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    March 22, 2023
  • JIJI LA ARUSHA LATIA FORA UGAWAJI WA MIKOPO, LAMWAGA ZAIDI YA BILIONI 2 ZA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    March 22, 2023
  • JIJI LA ARUSHA LATIA FORA UGAWAJI WA MIKOPO, LAMWAGA ZAIDI YA BILIONI 2 ZA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    March 22, 2023
  • ZIARA YA KAMATI YA SIASA MKOA WA ARUSHA KATIKA HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHAA

    March 21, 2023
  • Tazama zote

Video

ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa