Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha anawatangazia wananchi wote kuwa dirisha la kupokea maombi ya mikopo inayotolewa na Halmashauri litakuwa wazi kwa robo ya tatu kuanzia Tarehe 25/12/2022 hadi tarehe 25/01/2023 ambapo vikundi vitakavyoshughulikiwa ni vile tu vilivyosajiliwa kwenye mfumo wa ufuatiliaji na usimamizi wa mikopo ya asilimia 10 (TPL-MIS).
* Kwa taarifa zaidi soma hilo tangazo hapo chini
20 Boma Street 23101
Sanduku la Posta: 3013
Simu: 0272548072
Simu ya Mkononi: 0272545768
Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz
Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa