TAARIFA ZA KATA YA ENGUTOTO
HISTORIA YA KATA
Kata ya Engutoto ilianzishwa mwaka 2000 ambapo ilitokana na kugawanywa kwa kata ya Lemara
MIPAKA YA KATA
Kata ya Engutoto Kaskazini imepakana na kata ya Themi kusini imepakana na Wilaya ya Arusha DC Mashariki imepakana na kata ya Moshono na magharibi imepakana na kata ya Lemara/ Terrat
Kata ya Engutoto ina jumla ya wakazi 9,994, ambapo wanawake ni 5,008 na wanaume ni 4,986, pia kuna mitaa sita ambayo ni Block C1, Block C2, Block D, Block H, Block F, Block J
SHULE ZA MSINGI
SHULE ZA SECONDARY
TAASISI ZA SERIKALI ZILIZOPO KATIKA KATA
MIRADI INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2016/2017
VIWANDA VILIVYOPO KATIKA KATA
MIPANGO YA KATA
20 Boma Street 23101
Sanduku la Posta: 3013
Simu: 0272548072
Simu ya Mkononi: 0272545768
Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz
Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa