• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

Kaloleni


TAARIFA YA KATA YA KALOLENI

A.UTANGULIZI

Kata ya Kaloleni ni miongoni mwa Kata ishirini na tano (25) za Jiji la Arusha. Na ukubwa wa Kata hii ni eneo la mraba la hekta miamoja na sita (106). Mipaka ya Kata ya Kaloleni ni kama ifuatavyo:

  • Mashariki imepakana na Kata yaSekei
  • Magharibi imepakana na Kata ya Levolosi
  • Kusini imepakana na wilaya yaArusha
  • Kaskazini imepakana na Kata ya Kati

Kata ya Kaloleni ina jumla ya mitaa mitatu:

  • Mtaa wa Kaloleni Mashariki
  • Mtaa wa Kaloleni Magharibi
  • Mtaa wa Kaloleni Mita miambili

Kata ya Kaloleni ina kituo cha afya kimoja (Kituocha AfyaKaloleni) na Kituo kidogo cha polisi Kaloleni.

B.UTAWALA BORA

Kata ya Kaloleni ina jumla ya wenyeviti watatu na wajumbe wa Serikali za mitaa kamili. Huduma zote zinazotolewa kwa wananchi ni bure kabisa na utambulisho unaanzia katika Serikali ya mtaa ambapo mwananchi hupata huduma kwa mwenyekiti au mtendaji wake wa mtaa.Usuluhishi wa kesi pia huanzia katika Serikali ya mtaa mpaka kwenye BARAZA LA USULUHISHI LA KATA

MTAA
JINA
CHEO
CHAMA
KALOLENI MAGHARIBI
HASSANI SHARIF
MWENYEKITI WA MTAA
CCM

NEEMA BAIRU
MJUMBE
CCM

HAWA MNYAWI
MJUMBE
CCM

ISMAIL OMARY
MJUMBE
CCM

NEEMA NASSORO
MJUMBE
CCM

TASSAMA IBRAHIM
MJUMBE
CCM




KALOLENI MASHARIKI
ABDALLAH NASSORO
MWENYEKITI WA MTAA
CCM

SAUMU KASSIM
MJUMBE
CCM

SARA JOSEPH
MJUMBE
CCM

MWAJUMA MASUMAI
MJUMBE
CCM

KHALID  KASSIM
MJUMBE
CCM

AYUBU MASHAKA
MJUMBE
CCM




KALOLENI MITA MIA MBILI
DONATH MBOYA
MWENYEKITI WA MTAA
CHADEMA

MODEST MOLLEL
MJUMBE
CHADEMA

RAPHAEL AMOS
MJUMBE
CHADEMA

JOHN SENYA
MJUMBE
CHADEMA

PRISILA SHAYO
MJUMBE
CHADEMA

VERONICA MARTIN
MJUMBE
CHADEMA

Pia Kata hii ina ofisi ya Kata yenye jumla ya watumishi nane:

S/N
JINA LA MTUMISHI
IDARA
CHEO
1.
ELINAIKE MMARI
UTAWALA
AFISA MTENDAJI KATA
2.
FARIDA BUTTU
UTAWALA
AFISA MTENDAJI MTAA MITA 200
3.
EMANUEL MOLLEL
UTAWALA
AFISA MTENDAJI MTAA MASHARIKI NA MAGHARIBI
4.
RUTH SUMAYE
ELIMU
MRATIBU ELIMU
5.
BEATHA SEKUNDO
MAENDELEO YA JAMII
AFISA MAENDELEO YA JAMII
6.
MONICA NGONYANI
AFYA
AFISA AFYA
7.
PETER CHARLES
FEDHA
MHASIBU KATA
8.
MELESTUSY KESSY
UTAWALA
MLINZI

IDADI YA WAKAZI 

S/N
MTAA
IDADI YA WAKAZI
WANAUME
WANAWAKE
IDADI YA KAYA

KALOLENI MASHARIKI
2,108
935
1,173
751

KALOLENI MAGHARIBI
2,789
1,295
1,494
354

KALOLENI MITA 200
6,590
3,193
3,397
1,428

JUMLA KUU
11,487
5,423
6,064
2,533

C.HUDUMA ZA JAMII

  • UMEME:Asilimia 96% ya wakazi wa Kata ya Kaloleni wanatumia nishati ya umeme na wakazi wachache wa mita 200 ambao hutumia nishati mbadala kama MKAA,MAFUTA YA TAA,GESI na SOLA.
  • MAJI SAFI :Asilimia 97% ya wakazi wa Kaloleni wanapata huduma za maji safi yaliyounganishwa kwenye makazi yao na Asilimia 3% ya wakazi wanapata maji safi kutoka kwenye maeneo yaliyotengwa na AUWSA kwa huduma ya maji kwa jamii pamoja na kwa majirani wanaowazunguka.
  • MAJI TAKA: Huduma hii inapatikana kwa kiasi kidogo sana kwa baadhi ya wakazi ambao huunganishiwa huduma hii kwa malipo nafuu kutoka idara ya maji AUWSA. Huduma hii sio ya kuridhisha kutokana miundombinu yake kutokidhi/ kuhimili uhitaji wa wakazi katika huduma hii yaani idadi ya watumia huduma imezidi kiwango cha huduma na hivyo kusababisha kutiririka kwa maji taka ovyo barabarani (overflow)

D.IDARA MBALIMBALI KATIKA KATA

  • ELIMU
  • Kata ya Kaloleni ina jumla ya Shule tatu (3) za serikali kati ya hizo moja ni ya sekondari. Na hakuna shule za binafsi.
  • SHULE YA SEKONDARI KALOLENI
  • Shule ya sekondari Kaloleni ni ya mchanganyiko wa wavulana na wasichana.
  • IDADI YA WANAFUNZI
    • KIDATO
    • IDADI YA WANAFUNZI
    • I
    • 258
    • II
    • 281
    • III
    • 254
    • IV
    • 227
    • JUMLA KUU
    • 1020

    • IDADI YA WALIMU
    • Shule ya Sekondari Kaloleni ina jumla ya walinzi wa tatu (3)

      • STASHAHADA
      • SHAHADA
      • UZAMILI
      • JUMLA KUU
      • ME
      • KE
      • ME
      • KE
      • ME
      • KE
      • ME
      • KE
      • 44
      • 2
      • 8
      • 7
      • 25
      • -
      • 2
      • 7
      • 37


      • MIUNDO MBINU YA SHULE
        • AINA
        • MAHITAJI
        • YALIYOPO
        • UPUNGUFU
        • Madarasa
        • 23
        • 16
        • 7
        • Maabara
        • 3
        • 3
        • -
        • MatunduyaChoo
        • 46
        • 12
        • 34
        • Stoo
        • 2
        • 1
        • 1
        • Meza
        • 1020
        • 1020
        • -
        • Viti
        • 1020
        • 1020
        • -

        • SHULE YA MSINGI KALOLENI
      • Shule hii ni ya mchanganyiko na pia ina toa mafunzo kwa wanafunzi wa MEMKWA, UFUNDI na WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO


        • IDADI YA WANAFUNZI
          • DARASA
          • IDADI YA WANAFUNZI



          • AWALI
          • 144

          • I
          • 170

          • II
          • 94

          • III
          • 120

          • IV
          • 103

          • V
          • 125

          • VI
          • 157

          • VII
          • 133

          • KITENGO
          • 84

          • UFUNDI MWAKA I
          • 35

          • UFUNDI MWAKA II
          • 85

          • MEMKWA
          • 86

          • JUMLA
          • 1,336


          • IDADI YA WALIMU
            • DARASA
            • IDADI YA WALIMU
            • AWALI
            • 1
            • DRS I-VII
            • 32
            • KITENGO
            • 4
            • MEMKWA
            • 1
            • UFUNDI
            • 9
            • JUMLA
            • 47

            • MIUNDOMBINU YA SHULE
              • AINA
              • MAHITAJI
              • YALIYOPO
              • PUNGUFU
              • MADARASA
              • 24
              • 21
              • 3
              • VYOO
              • 42
              • 24
              • 18
              • STOO
              • 5
              • 4
              • 1
              • MAKTABA
              • 1
              • -
              • 1
              • JIKO
              • 1
              • -
              • 1
              • BWALO
              • 1
              • -
              • 1
              • KARAKANA
              • 5
              • 2
              • 3
              • MADAWATI
              • 349
              • 420
              • -

              • SHULE YA MSINGI MAKUMBUSHO
              • Shule hii ni ya mchanganyiko na inatoa mafunzo ya WATOTO WENYE USONJI
              • IDADI YA WANAFUNZI
                • DARASA
                • IDADI YA WANAFUNZI



                • AWALI
                • 112

                • I
                • 143

                • II
                • 78

                • III
                • 125

                • IV
                • 63

                • V
                • 79

                • VI
                • 122

                • VII
                • 60

                • KITENGO
                • 39

                • JUMLA
                • 780


                • IDADI YA WALIMU
                  • AINA
                  • MAHITAJI
                  • YALIYOPO
                  • PUNGUFU
                  • MADARASA
                  • 15
                  • 12
                  • 3
                  • VYOO
                  • 26
                  • 26
                  • -
                  • STOO
                  • 1
                  • -
                  • 1
                  • MAKTABA
                  • 1
                  • -
                  • 1
                  • JIKO
                  • 1
                  • -
                  • 1
                  • BWALO
                  • 1
                  • -
                  • 1
                  • MADAWATI
                  • 329
                  • 329
                  • -

                  MIUNDOMBINU YA SHULE

                  • DARASA
                  • IDADI YA WALIMU
                  • AWALI
                  • 1
                  • DRS I-VII
                  • 18
                  • KITENGO
                  • 4
                  • JUMLA
                  • 23

                  • 2.AFYA
                  • Kata ya Kaloleni ina Afisa afya mmoja anayehusika na kusimamia usafi wa mazingira ya kata, kutoa elimu ya Afya kinga kwa jamii na kukagua hali ya usafi katika maeneo yote yanayotoa huduma zinazohusu afya za wananchi. Wakala wa usafi yupo mmoja LEMALI INVESTMENT anayehusika na kuzoa taka katika Kata nzima ya Kaloleni
                  • Kata ya Kaloleni ina kituo cha afya kimoja tu cha serikali kilichopo chini ya Halmashauri ya Jiji la Arusha Kiitwacho KITUO CHA AFYA KALOLENI. Kituo hiki kinatoa huduma zifuatazo:
                  • Huduma za wagonjwa wa nje
                  • Huduma za wagonjwa wa kulazwa
                  • Huduma ya mama namtoto
                  • Uzazi wa mpango
                  • Huduma ya Maabara
                  • Matibabu ya macho
                  • Matibabu ya Meno
                  • Matibabu ya Kifua kikuu na ukoma
                  • Chanjo ya kuzuia kichaa cha mbwa
                  • Vipimo vya moyo
                  • Upimaji wa VVU
                  • Upasuaji mdogo
                • Kata ya Kaloleni ina jumla ya:

                  3. MAENDELEO YA JAMII

                  Pia kituo cha Afya cha Kaloleni kinatoa huduma Kwa kutumia TIKA (tiba kwa Kadi) na Bima za afya mfano NHIF.

                  • Wazee sitin na tano (65)
                  • Watotow anaoishi katika mazingira hatarishi tisini na nne (94)
                  • Walemavu kumi na nane (18)
                  • NGO’s tano (5)
                  • Vikundi vya wanawake na vijana ishirini na tisa (29)
                  • VICCOBA tisa (9)
                  • Vikundi vyote vinapewa mkopo kwa awamu kwa utaratibu uliowekwa na Kamati ya Maendeleo ya Kata na kwa mwaka 2015/2016 vikundi vine vilipata mkopo, cha vijana Kimoja (NING’ISHA VIJANA GROUP) na vya wanawake vitatu (UMOJA WOMEN GROUP,BAKAL GROUP na WOMEN BRIGHT GROUP)
                  • 4.MIRADI YA MAENDELEO 2016/2017
                  • S/N
                  • JINA LA MRADI
                  • BAJETI ILIYOTENGWA
                  • IDARA
                  • 1.
                  • Ujenziwamatundu 18 yavyaashuleyamsingiKaloleni
                  • 18,000,000/=
                  • Elimu
                  • 2.
                  • Ujenziwamatundu 6 yavyoosekondariyaKaloleni
                  • 6,000,000/=
                  • Elimu
                  • 3.
                  • UjenziwabarabarayaSt.JamesKalolenikwakiwango cha lami
                  • 115,000,000/=
                  • ROAD FUND





 

Matangazo

  • KUSITISHWA KWA TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA BONDENI CITY December 06, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI March 14, 2023
  • TANGAZO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KUHUSU KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA MAOMBI YA MIKOPO YA HALMASHAURI July 14, 2022
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA August 11, 2022
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YATIA FORA UGAWAJI WA MIKOPO, YAMWAGA ZAIDI YA BILIONI 2 ZA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    March 22, 2023
  • JIJI LA ARUSHA LATIA FORA UGAWAJI WA MIKOPO, LAMWAGA ZAIDI YA BILIONI 2 ZA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    March 22, 2023
  • JIJI LA ARUSHA LATIA FORA UGAWAJI WA MIKOPO, LAMWAGA ZAIDI YA BILIONI 2 ZA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    March 22, 2023
  • ZIARA YA KAMATI YA SIASA MKOA WA ARUSHA KATIKA HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHAA

    March 21, 2023
  • Tazama zote

Video

ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa