• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

Mipango miji

1.0.UTANGULIZI

Mipango miji ni Idara muhimu katika Jiji la Arusha inayosimamia mpangilio wa Mji na matumizi bora ya Ardhi. Kazi zinazofanyika katika Idara hii ni

i.Kuanda michoro ya mipango miji kwenye maeneo yaliyoiva , kuendelezwa kwa kushirikisha wananchi wa maeneo husika.

ii.Kuandaa michoro ya maeneo yaliyoendelezwa kiholela kwa kushirikisha wananchi wa maeneo husika.

iii.Kuandaa michoro ya marekebisho ya mipangomiji katika maeneo ambayo michoro iliandaliwa lakini imepitwa na wakati.

iv.Kutoa masharti ya uendelezaji wa Ardhi katika viwanja mbalimbali.

v.Kuchambua, kukagua na kuandaa mapendekezo ya mabadiliko ya matumizi ya Ardhi na umedgaji wa viwanja na kuwasilisha kwenye ngazi zinazohusika.

vi.Kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa mipangomiji katika uendelezaji wa ardhi

vii.Kupitia na kupitisha maombi ya vibali  vya ujenzi.

viii.Kushiriki katika kuandaa mpango kabambe wa Jiji.


1.1.UTARATIBU WA KUPATA HATI

Mwananchi /mmiliki aleta  wa ardhi ili aweze kupata Hati anatakiwa kuwasilisha vitu vifuatavyo kwa Afisa Ardhi

i.Picha tano pastport size.

ii.Mhutasri wa  Kata

iii.Kitambulisho chake

iv. Ramani ya upimaji wa eneo / kiwanja husika .  

  Baada ya kuwasilisha vitu tajwa hapo juu  Mwanachi/mmiliki atatakiwa

i.Ajaze form ya maombi Na.19 na kusaini

ii.Mwanachi kuonyesha kiwanja chake.

Kisha wataalam wa Ardhi watafanya kazi zifuatazo:

i.Faili ifunguliwe na ipelekwe mipangomiji kw ajili ya masharti/matumizi.

ii. Kuandaa form ya malipo/ advice of payments.

iii.Malipo stahiki kwa ajili ya maandalizi ya hati.

iv.Mmiliki anasaini fomu ya kukiri malipo/ acknowledgement for payments.

v.Deed plan zinachorwa  kuandaa mchoro wa ramani ndogo ya kiwanja husika.

vi.Rasimu  ya hati huchapwa pamoja na majalada ya hati

vii.Mwananchi anasaini hati yake na Historia ya kiwanja inaadnaliwa na rasimu za hati pamoja na vitambulisho muhimu kupelekwa kwa kamishna msaidizi wa ardhi kanda ya moshi.

viii.Rasimu zikishafika kwa kamishina  msaidizi wa ardhi ,zinakaguliwa na endapo atajiridhisha, atazipitisha kwa kutia sahihi yake.

ix.Hati ikishasainiwa na kamishna msaidizi wa Ardhi hupelekwa kwa msajili wa hati kwa ajili ya usajili.Kwa msajili ada ya usajili lazima ilipwe ndipo hati iweze kusajiliwa.

 NB:Hati ikishasajiliwa kwa msajili na mmliki hupewa hati yake na kukabidhiwa fomu ya usajili huletwa ofisi ya ardhi kwa ajili ya kuweka kumbukumbu. Upatikanaji wa Hati huchukua muda wa miezi mitatu.

1.2.LIPA KODI YA ARDHI KILA MWAKA – NI MKATABA KATI YAKO NA SERIKALI.

Mmiliki wa ardhi anapaswa kulipa kodi ya pango la ardhi kila ifikapo tarehe 1 Julai ya kila mwaka. Kodi ya ardhi ikichelewa kulipwa kwa miezi sita ,itatakiwa kulipwa pamoja na adhabu. Kodi ikilazwa itatakiwa kulipwa pamoja na adhabu na malimbikizo kwa mujibu wa sheria.

Wamiliki wa ardhi ni wapangaji ambao Uhalali wao unatokana  na kulipa kodi ya pango na kutokulipa kodi ya pango la Ardhi kwa wakati ni kuvunja mashati ya kumiliki ardhi.

HASARA ZA KUTO KULIPA KODI YA ARDHI:-

Wamiliki wa ardhi wanapata fursa ya kutumia ardhi ya umma badala ya wananchi wengine .

•Hivyo wasipolipa kodi ,wanawadhulumu wale waliokosa fursa ya kuitumia ardhi hiyo.

•Wanachochea ujenzi holela, wanaiibia serikali na kukwamisha maendeleo ya wananchi na taifa kwa ujumla.

             FAIDA ZA KULIPA KODI YA ARDHI:-

•Kodi ya ardhi ,huchangia Miji na makazi kupata huduma mbalimbali ikiwa ni pamoja na viwanja kwa ajili ya ujenzi.

•Mapato ya kodi , huiwezesha serikali kuchangia kupanga miji, kuendeleza upimaji na utoaji wa viwanja kwa wananchi kwa matumizi mbalimbali.



       GHARAMA ZA KUCHELEWA KULIPA KODI KWA WAKATI:-

•Serikali imetoa notisi ya siku 90 kuanzia 1 machi,2005, kwa watu wote wanaomiliki ardhi wenye   madeni ya pango la ardhi kulipa madeni hayo mara moja .

• Baada ya muda huo, serikali itachukulia kuwa wadaiwa hawa wanavunja kwa makusudi sharti hili la kumiliki ardhi.Serikali itatekeleza sheria ya Ardhi ya mwaka 1999, kwa kuchukua hatua ya kufuta haki zao za miliki ardhi na kuwafungulia kesi mahakamani madeni ya kodi ya ardhi.

•Ardhi hiyo na maendelezo yake vitanadiwa na kumilikishwa kwa watu wengine ,na mmilikaji aliyefutiwa miliki atalipwa fidia ya maendelezo yake katika ardhi, baada ya kukata deni la kodi ya pango la ardhi.

FAIDA ZA UMILIKI HALALI WA ARDHI:-

•MIliki halali ya ardhi yenye hati iliyo sajiliwa n akulipiwa kodi ya Ardhi ni fursa tosha ya kujipatia mitaji ya maendeleo.

•Mmiliki wa ardhi mwenye upeo wa maendeleo huhalalisha miliki yake kwa kulipia kodi ya pango la ardhi na kutumia umiliki wake wa ardhi kujiletea maendeleo,yeye na familia yake na jamii nzima kwa ujumla.

NB: MMILIKI WA ARDHI, LIPA KODI YA PANGO LA ARDHI KIJIEPUSHA NA MATATIZO YA KUNYANG’ANYWA ARDHI NA KUFUNGULIWA KESI MAHAKAMANI.



Matangazo

  • KUSITISHWA KWA TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA BONDENI CITY December 06, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI March 14, 2023
  • TANGAZO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KUHUSU KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA MAOMBI YA MIKOPO YA HALMASHAURI July 14, 2022
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA August 11, 2022
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YATIA FORA UGAWAJI WA MIKOPO, YAMWAGA ZAIDI YA BILIONI 2 ZA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    March 22, 2023
  • JIJI LA ARUSHA LATIA FORA UGAWAJI WA MIKOPO, LAMWAGA ZAIDI YA BILIONI 2 ZA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    March 22, 2023
  • JIJI LA ARUSHA LATIA FORA UGAWAJI WA MIKOPO, LAMWAGA ZAIDI YA BILIONI 2 ZA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    March 22, 2023
  • ZIARA YA KAMATI YA SIASA MKOA WA ARUSHA KATIKA HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHAA

    March 21, 2023
  • Tazama zote

Video

ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa