• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

Leseni

UTARATIBU WA KUPATA LESENI ZA BIASHARA

Leseni zote za Biashara hutolewa chini ya Sheria ya Biashara Na. 25 ya mwaka 1972 na marekebisho yake yaliyofanyika mwaka 2014 Mwombaji wa Leseni ya biashara anapaswa ajaze fomu ya maombi ya leseni TFN 211 (Business license application form). Moja ya kazi kubwa ya Kitengo hiki ni kurasimisha Biashara zote, kukuza biashara, kuelimisha Umma na kukusanya Tozo mbalimbali za Leseni kuwasaidia wajasiriamali kutambua fursa mbalimbali ikiwemo Masoko kwa bidhaa zoa.

MASHARTI YA KUOMBA NA KUPEWA LESENI ZA BIASHARA

  • Mfanyabiashara anapaswa awe na hati ya usajili iwapo anatumia jina la biashara (Certificate of Registration or Incorporation).
  •  Kama ni Kampuni mwombaji awe na “Memorandumand of Article of Association” ambazo zinaonyesha kuwa Kampuni imeruhusiwa kufanya biashara anayoiomba.
  •  Mfanyabiashara aje na kivuli cha Cheti cha namba ya mlipa kodi (TIN) pamoja na kivuli cha cheti kinachoonyesha kuwa imelipa mapato kwa mujibu wa Sheria (TAX CLEARENCE). Masharti mengine ya kupata Leseni hutegemea aina ya biashara mtu anayotaka kuanzisha eg. Mgahawa inabidi afuate taratibu zote za afya na kupima wafanyakazi wake.
  •  Hati ya utaalamu (Professinal Certificates) kwa biashara zote za kitaalam.

MALIPO

Serikali ilirudisha rasmi utoaji wa ada za Leseni za biashara kupitia Sheria ya Fedha Na. 5 ya mwaka 2011. Kutokana na marekebisho hayo, utaratibu wa kutoa Leseni za biashara bila malipo uliondolewa na kurudishwa ada ya Leseni kuanzia 30 Juni, 2013.

Kiwango cha ada ya Leseni kinatofautiana kulingana na aina ya biashara husika na eneo ilipo biashara hiyo. Mfano : kiwango cha ada za Leseni kwa Halmashauri ya Jiji na Manispaa ni tofauti na za Halmashauri ya Wilaya na maeneo ya Vijijini. Baada ya ulipaji wa ada hiyo mfanyabiashara atapatiwa stakabadhi kwa malipo halali ya Fedha yake.

ADHABU 

Mfanyabiashara atakayekutwa anafanya biashara bila kuwa na Leseni atatozwa faini isiyopungua 200,000/= na isiyozidi 1,000,000/= au apelekwe Mahakamani hii imeainishwa kutoka kufungu Na. 10 (1) (b).

WAJIBU WA MFANYABIASHARA

  • Kulipia kila mwaka Leseni ya Biashara yako kwa mujibu wa makadilio na wakati.
  • Ni jukumu la kila mfanyabiashara kumiliki Leseni katika eneo lake la biashara na kuiweka mahala pa wazi ili kuonekana kwa urahisi.

    AINA ZA LESENI

    •  Leseni za Vileo
  • Biashara ya Vileo inatekelezwa kufuata Sheria ya mwaka 1968, Kifungu 28 (Liquor License Act No. 28 of 1968) na marekebisho ya Sheria hiyo yaliyofanywa mwaka 2004.

    UTARATIBU WA UPATIKANAJI WA LESENI ZA VILEO

    Maombi yote mapya ya Leseni za Vileo ni lazima yapitishwe na wataalam ambao wameainishwa kwenye Fomu ya maombi (Afisa Mtendaji, Afisa Afya, Afisa Mipango, Afisa Biashara, Mamlaka ya Leseni.

    Maombi yote yanayorudiwa (Renewal) yawasilishwe moja kwa moja kwa Afisa anayeshughulikia Leseni za vileo kwa utekelezaji.

    Leseni za Vileo hutolewa kwa vipindi viwili (2) kwa mwaka ambapo kipindi cha kwanza huanzia tarehe 01/04 hadi 30/09 na kipindi cha pili huanzia tarehe 01/10 hadi 31/03 mwaka unaofuata. Leseni za Vileo hutolewa kwa mujibu wa Sheria na huendeshwa kwa muda maalumu kulingana na siku au matukio mfano, sikukuu na siku za mapumziko si sawa na siku za kazi.

     

     

     

    MUDA WA KUFANYA BIASHARA ZA VILEO

    Jumatatu hadi Ijumaa:

    Kuanzia saa 6:00 mchana. (Biashara hupaswa kufungwa), Hufunguliwa tena saa 11: 00 jioni hadi saa 5:00 usiku.

    Jumamosi, Jumapili na Sikukuu:

    Biashara hufunguliwa saa 06 mchana hadi 08 mchana (Biashara hupaswa kufungwa) Hufunguliwa tena 11 Jioni hadi 6 usiku.

    NB: Kutozingatia muda huo au kufanya biashara ya Vileo kwa mazoea na

    Kupitisha muda ni kosa linalopaswa kuchukuliwa hatua.

    Sheria hii haihusiwi kwa wale wanaomiliki Leseni halali za NIGHT CLUB.

    Aidha wanaoendesha biashara ya Vileo bila kufuata taratibu zilizotajwa hapo juu huchukuliwa hatua za Kisheria ikiwa ni pamoja na kupelekwa Mahakamani, kulipishwa faini pamoja na penalty au kufungiwa biashara zao.

    •  Leseni za biashara mbalimbali
  • Leseni hii hutolewa chini ya Sheria Na. 25 ya mwaka 1972 na marekebisho yake ya mwaka 2014.

    MABADILIKO YA MSIMU WA LESENI

    Kwa sasa Leseni hutolewa kwa kuzingatia muda wa uanzishwaji wake ili kuishia mwaka unaofuata siku moja kabla. Hii ni faraja kubwa kwa wafanyabiashara wetu ukilinganishwa na mfumo wa awali ambapo kila mwenye Leseni mpya alipaswa kuanzia Julai Mosi na kuishia Juni, 30 mwaka unaofuata wa Fedha.

    Hii ni kwa maombi mapya ya Leseni tu, wengine wataendelea na taratibu za awali kama kawaida.

    Pia ikumbukwe siku 21 baada ya tarehe ya kwisha msimu wa Leseni yako, utapaswa kulipia adhabu ya 25% na ongezekeko la 2% kila mwezi.

    Ukaguzi wa Leseni hufanywa kwa mujibu wa Sheria, na hufanywa wakati wowote inapoonekana inafaa na bila ya kutoa taarifa kwa mfanyabiashara. Adhabu yaweza kuwa faini ya papo kwa papo. Kufungiwa kuendesha biashara, kupelekwa Mahakamani au vyote kwa pamoja.

     

     

    FAIDA ZA MFANYABIASHARA KUWA NA LESENI NI PAMOJA NA:-

    • Kutambulika kama mfanya biashara halali.
    • Husaidia kupata mikopo mbalimbali.
    • Husaidia kupata fursa mbalimbali za kibiashara.
    • Kuchangia katika Uchumi wa Taifa (Ada).
    • Kuepuka usumbufu wa kufungiwa Biashara kwa kutokuwa na Leseni halali.
  • NB: Kwa maelezo zaidi na Ushauri juu ya yote yahusuyo biashara yako usisite

    Kufika Ofisi ya Biashara Jiji la Arusha chumba nmba 16 na 18 au kuwasiliana.

    Afisa biashara wa Jiji moja kwa moja.

    MAFANIKIO YA KITENGO:-

    • Kuwezesha utoaji wa Lesei kwa njia ya Kielektroniki (Mtandao).
    • Malipo yote kufanyika Benki na kutoa risiti za mtandao (mfumo).
    • Kuweza kutoa mafunzo kwa wajasiriamali mbalimbali.



Matangazo

  • KUSITISHWA KWA TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA BONDENI CITY December 06, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI March 14, 2023
  • TANGAZO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KUHUSU KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA MAOMBI YA MIKOPO YA HALMASHAURI July 14, 2022
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA August 11, 2022
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YATIA FORA UGAWAJI WA MIKOPO, YAMWAGA ZAIDI YA BILIONI 2 ZA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    March 22, 2023
  • JIJI LA ARUSHA LATIA FORA UGAWAJI WA MIKOPO, LAMWAGA ZAIDI YA BILIONI 2 ZA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    March 22, 2023
  • JIJI LA ARUSHA LATIA FORA UGAWAJI WA MIKOPO, LAMWAGA ZAIDI YA BILIONI 2 ZA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    March 22, 2023
  • ZIARA YA KAMATI YA SIASA MKOA WA ARUSHA KATIKA HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHAA

    March 21, 2023
  • Tazama zote

Video

ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa