• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

Mifugo na Uvuvi

IDARA YA MIFUGO/UVUVI

JIJI LA ARUSHA

Halmashauri ya Jiji la Arusha ina jumla ya ng’ombe 42,071 kati yao, ng’ombe 10,898 ni wakisasa na ng’ombe 31,173 ni wakienyeji, Mbuzi 31,374, Kondoo 15,561, Punda 1,200, Nguruwe 4,970, Sungura 1,400, Kuku wakienyeji 76,426 na Kuku wakisasa 350,000.  Mifugo hii inahudumiwa na klinikimbilizamifugo, vibanio vine nakituokimoja cha uchunguziwamaradhiyamifugo (Tanzania Veterinary Laboratory Agency).

Vilevilekunaviwandavyakusindikanyama, maziwanangoziambavyovikuwanatijakubwasanakwawafugaji, kwanivimeongezasanathamaniyamazoyamifugoviwandahivyoni Arusha Meat Company (kinamilikiwanaHalmashauri), Happy Sausage Company na Arusha Meat King.

HatahivyoHalmashauriinaviwandaviwilivyakusindikamaziwaambavyoni Arusha Diary, na Arusha International Diary ambavyovinaongezauborawamaziwayanayotumiwanawananchiwaJijihili.

Vikundivyawafugaji


KUKU

Kuna vikundi 6 vyawafugajiwa kuku katika Kata zaSokon I, EngutotonaLemara.  Vikundihivihufuga kuku kwamtindowakopa kuku lipa kuku ambapokilamwanakikundianapewa kuku 10 ambaowakishazalishaanarudisha kuku 10 miteteakwenyekikundiiliwapewewengine.


NG’OMBE

Kuna vikundi 6 vyawafugajing’ombekutokakatika Kata zaSokon I, Lemara, BaraanaKimandolu.  Wafugajihawahupatiwamafunzombalimbalijuuyautunzaji bora wamifugo, ujenziwamabanda bora ainayamalishonaulishajipamojanausindikajiwabidhaazamaziwa.  Mafunzohayohutolewanawatumishiwaugani.


HUDUMA YA UHAMILISHAJI

Ng’ombewamaziwahupandishwakwanjiayauhamilishaji (Artificial Insemination).  IdadiyawahamilishajindaniyaJiji la Arusha n inane (8) ambaohuamilishawastani wan g;ombe 78 kwamwezinakatiyahaong’ombewaliohamilishwaniasilimia 88 yang’ombehushikamimba.  Njiahiiimeonekanakuwayafaidakwaning;ombehawaambukizanimagonjwayakizazikamailivyokwawanaopandishwakwakutumiadume.  Njiahiininzuriimpatiayomfugajikizazikilichoboranachenyetijayaaniupatikanajiwamaziwayakutoshauborawanyamanangozi.


MABWAWA YA SAMAKI

HalmashauriyaJijiinajumlayamabwawatakribani 38 yaliyokokatika Kata zaKimandolu, Moshono, Themi, Lemara, Sokon I, Terrat, Sombetini, Elerai, OlasitinaEngutoto.  Mabwawahayayamepatikanabaadayawafugajikupewamafunzoyaufugaji bora wasamakinawafugajikuanzakufugakwaajiliyamatumiziyanyumbani, biasharanamapambo.


PEMBEJEO ZA MIFUGO

Halmashauriinamaduka 45 yapembejeozamifugoambayohutoahudumakwawafugajikwakuuzapembejeoambazonipamojanamadawambalimbaliyakuogesheamifugo, kukingamifugodhidiyamagonjwayaenezwayonakupe, mbung’onainzi (biting flies), Madawayatibakwamifugokama Antibiotics, Anthelmintic,Sulphur drugs naAntiparasiticspamojanamadawakunavyakulambalimbalivyamifugonaviinilishe.  Katikamadukahayayapembejeohuuzavifaatibavyamifugokama surgical equipments& pm kits navifaavinginevyo (burdizzo, disbeeding, iron, hooftreamer, deabeakers, embryotomy wire, syringes, thermometer the toscope)


KITUO CHA MAFUNZO


Halmashauri ina kituo kimoja cha mafunzo kwa wakulima ambacho kiko katika Kata yaThemieneo la nanenane.  Katika kituo hiki kuna miradi inayoendelea ambayo ni ufugaji wa maziwa.  Aidha kuna ng’ombe wawili na ndama mbili (2) nakiasi cha utoaji maziwa kwasasa ni lita 9 kwasiku.  Piatunajihusishanasuala la ufugajisamakipamojanaupandajiwamajaniyamalishokwamifugo.


Matangazo

  • KUSITISHWA KWA TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA BONDENI CITY December 06, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI March 14, 2023
  • TANGAZO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KUHUSU KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA MAOMBI YA MIKOPO YA HALMASHAURI July 14, 2022
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA August 11, 2022
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YATIA FORA UGAWAJI WA MIKOPO, YAMWAGA ZAIDI YA BILIONI 2 ZA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    March 22, 2023
  • JIJI LA ARUSHA LATIA FORA UGAWAJI WA MIKOPO, LAMWAGA ZAIDI YA BILIONI 2 ZA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    March 22, 2023
  • JIJI LA ARUSHA LATIA FORA UGAWAJI WA MIKOPO, LAMWAGA ZAIDI YA BILIONI 2 ZA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    March 22, 2023
  • ZIARA YA KAMATI YA SIASA MKOA WA ARUSHA KATIKA HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHAA

    March 21, 2023
  • Tazama zote

Video

ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa