• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

Dkt. Madeni kuifufua upya Operesheni ya Ukusanyaji wa Mapato Jijini Arusha, aongeza kikosi kazi

Posted on: January 17th, 2019

Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dkt. Maulid Suleiman Madeni  amesema kuwa ifikapo kesho Tarehe 18 Januari, 2019 operesheni  ya ukusanyaji wa mapato inatarajiwa kuanza upya baada ya kupumzika kwa muda mfupi kupisha msimu wa mapumziko na sikukuu.Ameyasema hayo wakati alipokuwa  akiongea na waandishi wa habari akiwa ofisini kwake leo Taehe 17 Januari, 2019 ambapo ameitambulisha timu mpya   katika awamu hii ambayo ni Wakuu wa Idara zote zilizoko Halamshauri ya Jiji la Arusha na kila mmoja ataambatana na  watumishi walio chini yake na watapangiwa maeneo maalum ya usimamizi na ufatiliaji.“Lengo kubwa  la kuendeleza operesheni hii ni  kuongeza pato la Halmashauri  yetu na malengo tuliyojiwekea ni kukusanya zaidi Bilioni 15.6 kwa mwaka wa Fedha 2018/2019 badala ya Bilioni 13  tulizokusanya katika mwaka wa Fedha uliopita wa 2017/2018 hivyo operesheni hii itaendelea ili kutuwezesha kufikia malengo hayo”“Katika wiki za hivi karibuni mapato yamekuwa yakishuka siku hadi siku kufuatia watu kujijengea dhana mbaya juu ya vitambulisho vya machinga hivyo niwaombe walioko katika maeneo yao rasmi waendelee kufata sheria na taratibu za kawaida walizowekewa bila kuathiri mapatao ya Halmashauri na sisi tutaendelea kufuatilia kwa karibu suala hili” alisema Dkt. Madeni.Aidha Dkt. Madeni aliwambia waandishi wa habari kuwa mpaka sasa wafanyabiashara wadogo 5770 wameshapatiwa vitambulisho na uhamasishaji unaendelea  ili kufikia idadi ya  wafanyabiashara  8000. Huu ni  muendelezo wa operesheni yake  ukusanyaji wa mapato aliyoianzisha Mwezi  Octoba Mwaka2018  iliyolenga kuhakikisha wafanyabiashara wote na wamiliki wa vibanda wana leseni za muda husika, risiti halali za kodi  na mikataba halali ya halmashauri sambamba na kufungia vibanda kwa wafanyabiashara wote ambao hawana vielelezo vya kutosha katika vyanzo vyote vya mapato ndani ya Halmashauri ya Jiji la Arusha. MWISHO.

Matangazo

  • NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA KUSAFIRI NJE YA NCHI KWA WATUMISHI WA SERIKALI January 16, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA YA MTENDAJI WA MTAA NA KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU October 06, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 15, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO October 29, 2024
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • JIJI LA ARUSHA LAZINDUA MITAMBO MIPYA

    January 28, 2025
  • MKURUGENZI KAYOMBO AKABIDHIWA OFISI

    August 21, 2024
  • WANAWAKE NA WASICHANA KUJENGEWA UWEZO WA KISHIRIKI NAFASI ZA UONGOZI

    August 20, 2024
  • NENDENI MKAONGEZE UFANISI

    August 19, 2024
  • Tazama zote

Video

JIUNGE NA MFUMO WA TAUSI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa