• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

Mafunzo ya mpango kazi wa Taifa wa kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto kwa kamati ya ulinzi wa wanawake na watoto katika ngazi ya halmashauri (MTAKUWWA 2017/2018 – 2021/2022) jijini Arusha

Posted on: May 31st, 2019

Mafunzo hayo yaliyofanyika jana tarehe 30/05/2019 katika ukumbi wa Makumbusho jijini Arusha  yalifunguliwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mhe. Gabriel Daqarro na  yalijumuisha wajumbe wote wa kamati ya ulinzi wa wanawake na watoto katika ngazi ya halmashauri .


Pichani: Baadhi ya wajumbe wa kamati ya ulinzi wa wanawake na watoto katika ngazi ya Halmashauri wakishiriki mafunzo kwa mtindo wa Kikundi

Mwenyekiti wa kamati hiyo ni Mkurugenzi wa jiji la Arusha na katibu ni Afisa Maendeleo ya Jamii na  Afisa Ustawi wa Jamii na majukumu ya kamati hiyo ni kuratibu shughuli zinazohusiana na mpango na kuboresha utoaji wa huduma kwa makundi yaliyo katika mazingira hatarishi.

Pichani: Mtoto Zakta Hassan ni mwanafunzi wa shule ya sekondari Ngarenaro jijini Arusha  na pia ni mmoja wa wajumbe wa kamati hiyo alipokuwa akiwasilisha mawazo ya wajumbe wengine dhidi ya dhana nzima ya ukatili wakati wa mafunzo hayo

Vikundi kazi katika utekelezaji wa  mpango kazi wa Taifa wa kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto ni pamoja na kuimarisha uchumi wa kaya, mila na desturi chanya kwa wanawake na watoto zenye usawa wa kijinsia, mazingira salama, malezi, kuimarisha mahusiano na kuziwezesha familia, utekelezaji na usimamizi wa sheria, utoaji wa huduma kwa waathirika wa ukatili, mazingira salama shuleni na stadi za maisha pamoja na uratibu, ufuatiliaji na tathmini.

Matangazo

  • NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA KUSAFIRI NJE YA NCHI KWA WATUMISHI WA SERIKALI January 16, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA YA MTENDAJI WA MTAA NA KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU October 06, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 15, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO October 29, 2024
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • JIJI LA ARUSHA LAZINDUA MITAMBO MIPYA

    January 28, 2025
  • MKURUGENZI KAYOMBO AKABIDHIWA OFISI

    August 21, 2024
  • WANAWAKE NA WASICHANA KUJENGEWA UWEZO WA KISHIRIKI NAFASI ZA UONGOZI

    August 20, 2024
  • NENDENI MKAONGEZE UFANISI

    August 19, 2024
  • Tazama zote

Video

JIUNGE NA MFUMO WA TAUSI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa