• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

Watumishi Jiji la Arusha washeherekea siku ya Wafanyakazi Duniani Mei-Mosi 2018

Posted on: May 1st, 2018

Mkuu wa mkoa wa Arusha ambae pia ni kiongozi mkuu wa shughuli za kiserikali ngazi ya mkoa Mh. Mrisho Gambo amehutubia maelfu ya wafanyakazi katika mahadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani Mei Mosi-2018. Ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni "kuunganishwa kwa Mifuko ya hifadhi za jamii kulenge kuboresha mafao ya mfanyakazi".

Mkuu wa mkoa alikagua maandamano mbalimbali ya wafanyakazi. Ambapo maandamano hayo yalianzia katika Ofisi za Halmashauri ya Jiji la Arusha. Pamoja na hayo pia alitoa zawadi mbalimbali kwa wafanyakazi bora. Ameyafanya hayo ili kuchochea hari ya wafanyakazi katika kufanya kazi.


Mfanyakazi bora Halmashauri ya Jiji la Arusha Ndg. Frank Sanga ambaye ni Afisa Tawala akipokea cheti kutoka kwa  Mgeni rasmi Mh. Mkuu wa mkoa wa Arusha katika sherehe za mahadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani yaliyofanyika katika viwaja vya Sheikh Amri Abeid Mkoani Arusha.

Jiji la Arusha liliibuka washindi wa kwanza katika maandamano ya miguu chama cha TALGWU, Ambapo mgeni rasmi aliwazawadia kombe. Alikadhalika watumishi mbalimbali wa jiji la Arusha walipata tuzo ya wafanyakazi bora.

Mkuu wa mkoa wa Arusha pia alisikiliza kero mbalimbali  zinazowakumba wafanyakazi ikiwa ni pamoja na mishahara duni. Ambapo amesema alisema kero amezisikia na atazifikisha kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mkuu wa mkoa alimalizia kwa kusema anawapongeza wafanyakazi na wananchi wa jiji la Arusha kwa kuendelea kuitunza amani ya Tanzania ambapo kwa miaka michache iliopita ilionekana kusuasua.

Matangazo

  • NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA KUSAFIRI NJE YA NCHI KWA WATUMISHI WA SERIKALI January 16, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA YA MTENDAJI WA MTAA NA KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU October 06, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 15, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO October 29, 2024
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • JIJI LA ARUSHA LAZINDUA MITAMBO MIPYA

    January 28, 2025
  • MKURUGENZI KAYOMBO AKABIDHIWA OFISI

    August 21, 2024
  • WANAWAKE NA WASICHANA KUJENGEWA UWEZO WA KISHIRIKI NAFASI ZA UONGOZI

    August 20, 2024
  • NENDENI MKAONGEZE UFANISI

    August 19, 2024
  • Tazama zote

Video

JIUNGE NA MFUMO WA TAUSI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa