-
Jun 16
-
May 24
-
Sep 06
-
May 21
-
May 06
-
Apr 26
-
Apr 05
-
Mar 23
Shule ya Msingi Maweni iliyopo kata ya Murriet Jiji la Arusha yapata fursa ya kipee katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika kwa kutembelewa na wadau mbalimbali wa maendeleo ya elimu
read moreNteghenjwa Hosseah - Arusha Shule ya msingi Lucky Vicent yaibuka na mshindi wa Jumla Kitaaluma kwa kushika nafasi ya kwanza Kimkoa katika maadimisho ya Juma la Elimu yaliyoadhimishwa katika viwanja
read moreMwenge wa Uhuru katika Wilaya ya Arusha umefika tarehe 05/09/2017 na kudumu kwa muda wa siku moja katika Wilaya hii na kukabidhiwa kwa Halmashauri ya Monduli siku iliyofuata ya tarehe 06/09/2017. M
read moreMkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqaro amesema wanawake na vijana wanaokidhi vigezo wapewe Zabuni za Halmashauri ya Jiji ili kuweza kuwainua kiuchumi na kuboresha maisha yao kwa kazi mbalimbali
read moreMstahiki Meya na Mkurugenzi wa Jiji la Arusha wana toa pole kwa Mmiliki, Mkuu wa Shule, Walimu na Wazazi wote wa wanafunzi waliopatwa na ajali asubuhi ya Leo tarehe 06/05/2017. Ajali hiyo iliyotoke
read moreMkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Mashaka Gambo amekabidhi hundi ya Tsh Bil 1 kwa vikundi vya wanawake na Vijana ikiwa ni mchango wa asilimi kumi (10%) ya mapato ya Halmashauri Jiji la Arusha. Aki
read moreMkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Mrisho Gambo amewaagiza watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha kwa kushirikiana na watumishi wa Mamalaka ya Mapato Tanzania(TRA) Mkoa kukusanya Tsh Bilioni moja za kodi
read moreMkuu wa Wilaya ya Wilaya ya Arusha Mhe. Fabian Gabriel Daqarro mwishoni mwa wiki hii amekutana na Maafisa Watendaji wa Kata zote za Jiji la Arusha kuzungumzia kuhusu masuala mbalimbali muhimu yanayota
read more
Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Jiji la Arusha
20 Boma Street 23101
Sanduku la Posta: 3013
Simu: 0272548072
Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0272545768
20 Boma street 23101
Sanduku la Posta: 3013
Simu: 0272548072
Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0272548072