• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

Olasiti

TAARIFA YA KATA YA OLASITI

HISTORIA FUPI YA KATA

Kata ya Olasiti ni miongoni mwa kata 25 za jiji la Arusha,Kata ina jumla ya mitaa mitano ambayo ni Olasiti kati,Oloresho,kimindorosi,Olkereyani na Jumla ya wakazi waishio katika kata ya Olasiti ni Burka wakazi wa kata hii hujishughulisha na shughuli mbalimbali za kiuchumi ikiwapo kilimo na Ufugaji

Kata ina jumla ya watumishi nane (8), kama inavyoonekana kwenye jedwali

IDARA
SN
JINA LA MTUMISHI
CHEO
UTAWALA

1

Emmanuel S. Mhauka
Afisa Mtendaji wa Kata

2

Betseba Mpangala
Afisa Mtendaji wa Mtaa

3

Asha M Isuja
Afisa Mtendaji wa Mtaa
KILIMO

4

Upendo S Mushi
Afisa kilimo
MIFUGO

5

Jeromine Shirima
Afisa Mifugo
AFYA

6

Dickson Ndumbalo
Afisa Afya
ELIMU

7

Zuhura Mringo
Mratibu Elimu
Maendeleo ya Jamii

8

Vicky  Moshi
Afisa Maendeleo

 

HUDUMA ZA JAMII

Kata ya Olasiti ina jumla ya Shule za serikali 4 na za binafsi 9. Ambapo shule za msingi za serikali zipo 2 na shule za sekondari za serikali zipo 2, na shule za msingi za binafsi zipo saba na shule za sekondari za binafsi zipo 2.

Kata ya Olasiti kwa sasa haina zahanati wala kituo cha afya cha serikali.

Katika kata ya olasiti hakuna miradi ya maendeleo yoyote katika kipindi cha mwaka wa fedha 2016/2017 inayotekelezwa.

MIPANGO YA KATA KATIKA KUTOA HUDUMA BORA

Katika kutoa huduma bora kwa wananchi kata imekua mipango ifuatayo;

  • Kusimamia Utawala wa sheria na taratibu katika kutoa huduma kwa wananchi pasipo kua na upendeleo wa aina yoyote ikiwemo kuepuka vitendo vya unyanyapaaji wa kijinsia,ulemavu na itikadi za kisiasa zinazoweza kujitokeza katika ofisi na taasisi za serikali.
  • Kusimamia uwajibikaji kwa kila mtumishi wa ngazi ya kata ikiwa pamoja na kuwahi vituo vya kazi na kuhudumia wananchi kwa wakati na kukidhi mahitaji yao.
  • Kuepukana na vitendo vya rushwa katika ofisi za serikali vinavyoweza kupelekea huduma duni na za kukandamiza kwa wananchi hivyo kudumaza huduma bora kwa wananchi

Matangazo

  • NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA KUSAFIRI NJE YA NCHI KWA WATUMISHI WA SERIKALI January 16, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA YA MTENDAJI WA MTAA NA KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU October 06, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 15, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO October 29, 2024
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • JIJI LA ARUSHA LAZINDUA MITAMBO MIPYA

    January 28, 2025
  • MKURUGENZI KAYOMBO AKABIDHIWA OFISI

    August 21, 2024
  • WANAWAKE NA WASICHANA KUJENGEWA UWEZO WA KISHIRIKI NAFASI ZA UONGOZI

    August 20, 2024
  • NENDENI MKAONGEZE UFANISI

    August 19, 2024
  • Tazama zote

Video

JIUNGE NA MFUMO WA TAUSI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa