• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

Osunyai

TAARIFA YA KATA YA OSUNYAI JR

  • HISTORIA YA KATA, UKUBWA NA IDADI YA WATU
  • Kata ya Osunyai JR ni miongoni mwaKata Ishirini na tano zaJiji la Arusha. Ina Mitaa mine nayo ni JR, Kirika B, Osunyai na Ngusero. Kata ya Osunyai JR upande wa
  • -Magharibi imepakana na Kata ya Olasiti
  • -Mashariki imepakana na Kata ya Sokoni One
  • -Kaskazini imepakana na Kata ya Sombetini ,
  • -Kaskazini Mashariki imepakana na Kata ya Unga LTD na
  • -Kusini imepakana na Kata ya Murriet. Kata ya Osunyai Jr ilianzishwa rasmi Desemba, 2014.
  • Kata ya Osunyaji inajumla ya wakazi wapatao 32802.
  • IDADI YA SHULE ZA AWALI, MSINGI NA SEKONDARI, ZAHANATI PAMOJA NA VITUO VYA AFYA VYA SERIKALI.
    • NA.
    • AINA
    • JINA LA SHULE/ZAHANATI
    • IDADI
    • MTAA ILIPO
    • 1.
    • SHULE ZA AWALI
    • -OsunyaiShuleyaMsingi(Serikali)
    • -ImaniShuleyaMsingi (Binafsi)
    • -Hardy S/msingi(Binafsi)
    • -Goodhope S/msingi (Binafsi)
    • 04
    • Osunyai
    • 2.
    • SHULE ZA MSINGI
    • -OsunyaiShuleyaMsingi (Serikali)
    • -ImaniShuleyaMsingi (Binafsi)
    • -Hardy S/msingi(Binafsi)
    • -Goodhope S/msingi(Binafsi)
    • 04
    • Osunyai
    • 3.
    • SHULE YA SEKONDARI
    • -SombetiniSekondari (Serikali)
    • 01
    • Osunyai
    4.
    • ZAHANATI/VITUO VYA AFYA
    -ZahanatiyaSombetini (Serikali)
    01
    • JR

    • TAASISI ZA SERIKALI
  •         Kata ya Osunyai Jr ina Taasisi moja ya Serikali ambayo ni Ofisi ya Kata.


    • MIRADI INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2016/2017
    • Kata ya Osunyai JR ina Miradi mitatu (3) ambayo inatekelezwa kwa mwaka huu wa fedha 2016/2017.
      • NA.
      • AINA YA MRADI
      • UTEKELEZAJI
      • UMEFADHILIWA
      • 1.
      • UjenziwaOfisiya Kata yaOsunyai JR
      • Badohaujaanzakutekelezwa
      • HalmashauriyaJiji la Arusha  -LGDF
      • 2.
      • UjenziwaMatundu 36 yavyoo S/MsingiOsunyai
      • Badohaujaanzakutekelezwa
      • HalmashauriyaJiji la Arusha-Mapatoyandani
      • 3.
      • UjenziwaBarabarayaSombetini-FFU
      • Umeanzakutekelezwa
      • FedhatokaBankiyaDunia

      • VIWANDA VILIVYOPO KATIKA KATA YA OSUNYAI JR.
      • Kata ya Osunyai Jr kwa sasa haina kiwanda chochote.
      • MIPANGOYA KATA KATIKA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI
      • -Kwa kuboresha huduma kwa wananchi.
      • -Kuweka wazi sanduku la maoni katika Ofisi ya Kata.

Matangazo

  • KUSITISHWA KWA TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA BONDENI CITY December 06, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI March 14, 2023
  • TANGAZO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KUHUSU KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA MAOMBI YA MIKOPO YA HALMASHAURI July 14, 2022
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA August 11, 2022
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YATIA FORA UGAWAJI WA MIKOPO, YAMWAGA ZAIDI YA BILIONI 2 ZA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    March 22, 2023
  • JIJI LA ARUSHA LATIA FORA UGAWAJI WA MIKOPO, LAMWAGA ZAIDI YA BILIONI 2 ZA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    March 22, 2023
  • JIJI LA ARUSHA LATIA FORA UGAWAJI WA MIKOPO, LAMWAGA ZAIDI YA BILIONI 2 ZA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    March 22, 2023
  • ZIARA YA KAMATI YA SIASA MKOA WA ARUSHA KATIKA HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHAA

    March 21, 2023
  • Tazama zote

Video

ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa