• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

Sakina

TAARIFA YA KATA YA SAKINA 

A: UTANGULIZI 

Kata  ya  Sakina  ni  miongoni  mwa  kata  25  zilizopo  katika  jiji  la  Arusha.  Pia Kata ya   Sakina ni kata mpya iliyotokana na kugawanywa kwa kata ya Elelai na Ngarenaro. Ambapo kata hii ina jumla ya watu  21,988 wanawake wakiwa ni 11,572 na wanaume ni 10,416 na jumla ya kaya ni 6,921 ikiwa na jumla ya mitaa saba( 7)

MIPAKA YA KATA 

 kasikazini imepakana na Wilaya ya Arudha DC, kusini imepakana nan a kata  ya sombetini na ungalimited kwa mitaa ya ostabay kwenye barabara ya Dodoma,Mashariki imepakana na kata ya Ngarenaro kwa mto N garenaro na magaribi imepakana na kata ya Eleraikwa barabara ya Shamsi hadi mto Rajabu kuendelea hadi mita 200.

WATUMISHI NA VIONGOZI

Ofisi ya kata ina jumla ya watumishi nane ( 8 ) nao ni kama ifuatavyo

  • Mtendaji wa kata -1
  • Watendaji wa mitaa-4
  • Afisa afya -1
  • Mratibu elimu -1
  • Askari kata -1

VIONGOZI

  • Diwanni wa kata -1
  • Wenyevti wa mitaa -7

2.0 HALI YA UTAWALA BORA KATIKA KATA

2. 1 MITAA ILIYOKO NDANI YA KATA YA SAKINA                          

KATA
MITAA
 
WAKAZI  WALIOPO SENSA 2012
SAKINA
7

MITAA
ME
KE
JUMLA
KAYA


SAKINA
1602
1705
3307
829
MELAMALI
1189
1290
2479
643
MAIRIVA
1117
1320
2437
250
NAVARANA
1981
1993
3974
1110
GIRIKI
2116
2141
4257
1147
OLMATEJO “A”
2583
2615
5198
1254
OLMATEJO “B”
3223
3366
6586
1998

 

Jumla ya wakazi 28,241

Kutokana na kata ya sakina kua ni kata mpya hivyo kata yetu haijatengwa maeneo ya wazi hivyo kata haina shule za awali, msingi na sekondari, Zahanati pamoja na vituo vya afya vya serikali. Pia kata ya sakina haina taasisi za serikali.

MIRADI YA MAENDELEO

S/N
JINA LA MRADI
UTEKELEZAJI WA MRADI
MTEKELEZAJI
HALI YA MRADI KWA SASA
1
 KUJAZA NA KUSHINDILIA VIFUSI KATIKA BARABARA YA GIRIKI
BARABARA IMEJAZWA NA KUSHINDILIWA KIFUSI
HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA
UMEMARIZIKA
2
UJENZI WA MTARO NA UMWAGAJI WA KIFUSI KATIKA BARABARA YA OLMATEJO B
(MSHENGERII)
BARABARA PAMOJA NA MTARO KAKATIKA ENEO LA OLMATEJO B UMETENGENEZWA KWA UPANDE WA MTARO HAUJAKAMILIKA
HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA
UJENZI UNAENDELEA

MIPANGO YA KATA KATIKA KUTOA HUDUMA BORA

  • USHIRIKISHWAJI WA  WANANCHI KATIKA KUPANGA NA KUTEKELEZA MIPANGO YAO WENYEWE

 Ushirikishaji Wananchi katika kupanga na kutekeleza mipango yao wenyewe,Ushirikishwaji Wananchi unazofaida nyingi ambazo ni pamoja na Wananchi kumiliki maendeleo yao; Miradi inayotekelezwa kuwa endelevu; Kuongezeka kwa uwajibikaji wa  Wananchi na Viongozi wa Serikali za mitaa, pia Kuongezeka kwa uwazi katika kutoa maamuzi; Kupungua kwa gharama za Serikali za kutoa huduma kwa Wananchi kutokana na michango yao katika utekelezaji wa miradi; na kwa mujibu wa Ibara za 145 na 146 za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ushirikishwaji wa Wananchi unalenga kutoa madaraka zaidi kwa Umma katika maamuzi.

Aidha, kujenga mazingira yanayowezesha Serikali na wananchi kushirikiana kuboresha utendaji  wa kazi kwa upande wao na Serikali za Mitaa na kuhakikisha uwepo wa demokrasia ili kurahisisha maendeleo ya wananchi.

DHANA: Kutoa mafunzo ya mara kwa mara kwa Jamii juu ya mpango shirikishi, Faida za kuwa na mpango shirikishi, na umuhimu wa kuunganisha nguvu kazi katika maendeleo. Pia kusisitiza uwajibikaji wa viongozi wa Jamii na Jamii yenyewe kwa ujumla katika suala zima la mchakato wa mipango.

Kuhakikisha kufuata kanuni ili kutomgandamiza mwananchi,pia kamati ya afya  imeweka ratiba ya kutoa elimu ya afya kwa wananchi kwa kupitia mikutano ya mitaa.

Matangazo

  • KUSITISHWA KWA TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA BONDENI CITY December 06, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI March 14, 2023
  • TANGAZO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KUHUSU KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA MAOMBI YA MIKOPO YA HALMASHAURI July 14, 2022
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA August 11, 2022
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YATIA FORA UGAWAJI WA MIKOPO, YAMWAGA ZAIDI YA BILIONI 2 ZA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    March 22, 2023
  • JIJI LA ARUSHA LATIA FORA UGAWAJI WA MIKOPO, LAMWAGA ZAIDI YA BILIONI 2 ZA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    March 22, 2023
  • JIJI LA ARUSHA LATIA FORA UGAWAJI WA MIKOPO, LAMWAGA ZAIDI YA BILIONI 2 ZA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    March 22, 2023
  • ZIARA YA KAMATI YA SIASA MKOA WA ARUSHA KATIKA HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHAA

    March 21, 2023
  • Tazama zote

Video

ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa