• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

Sekei

TAARIFA YA KATA YA SEKEI.

UTANGULIZI 

Kata ya Sekei ni miongoni mwa kata 25 za Halmashauri ya jiji la Arusha. Kata hii inapakana na kata ya kimandolu upande wa magharibi, kaloleni upande wa mashariri, kusini kata ya Oloirieni na kaskazini inapakana na Halmashuri ya Arusha. Kata ya sekei ina jumla ya mitaa sita ambayo ni: Naura, AICC, Goliondoi, Mahakama, Sanawari, Naurei.

        HISTORIA YA KATA.

Kabla ya kuwa kata ilikua tawi ambalo lilikuwa likuhudumiwa na makatibu wa CCM.Kata ya sekei ilianzishwa mnamo mwaka 1969. Jina sekei limetokana na neno la kimasai seki. Seki ni aina ya miti iliyokuwa imeota katika maeneo ya kata na ilikua ni malisho mazuri ya mbuzi.

Asili ya watu wa sekei ni mchanganyiko wa wamasai, wameru,na wachaga waliotokea kijiji  kinachoitwa Mula.

 Kata ina jumla ya wakazi 9213 ME 4272 na KE 4941.

IDADI YA SHULE

Kata ina jumla ya shule tatu za msingi ambazo ni Kijenge, Sanawari na Naura na kila shule ya msingi ina madarasa ya awali. Kata haina shule ya sekondari.

VITUO VYA AFYA.

Kata ina kituo cha afya cha Polisi Pamoja na hospitali ya mkoa Mount Meru.

TAASISI ZA SERIKALI.

Taasisi za serikali zilizopo kata ya sekei ni kama ifuatavyo;

  • Ofisi za halmashauri ya jiji la arusha iliyopo mtaa wa Goliondoi
  • Ofisi ya mkuu wa mkoa iliyopo mtaa wa AICC.
  • Ofisi za East Africa Community mtaa wa AICC
  • Ofisi ya mkuu wa wilaya iliyopo  mtaa wa Naura.
  • Ofisi ya polisi mkoa na wilaya vyote vipo mtaa wa Naura
  • Benki kuu iliyopo mtaa wa Goliondoi.
  • Shirika la posta na simu  mtaa wa Goliondoi
  • Ofisi ya TRA iliyopo mtaa wa Naura.
  • Mahaka ya mkoa iliyopo mtaa wa Mahakama.
  • Ikulu  iliyopo mtaa wa mahakama
  • Chuo cha Afya CEDHA kilichopo mtaa wa Naura
  • Makumbusho ya Taifa-mtaa wa  AICC
  • Ofisi ya mwanasheria mkuu  wa serikal iliyopo mtaa wa Goliondoi.
  • Ofisi ya uhamiaji iliyopo mtaa wa Naura
  • Ofisi ya magereza Mkoa iliyopo mtaa wa Naura
  • Ofisi ya Mifugo iliyop mtaa wa Naura

MIRADI INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2016/2017

Kwa mwaka huu wa fedha. Miradi inayotekelezwa kwa mwaka wa fedha 2016/2017 Matundu ya vyoo shule ya msingi sanawari na kijenge, ukarabati wa soko la sanawari, taa za barabarani,marekebisho ya barabara zinazoingia ndani ya kata

MIPANGO YA KATA KATIKA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANACHI.

  • Kwa kushirikiana  na wenyeviti wa mitaa  kuwatambua wanachi wote waliopo ndani ya kata na kuwaingiza kwenye rejesta ya wakazi.
  • kuhakikisha mikutano ya mitaa inafanyika kulingana na ratiba ambapo ndipo wananchi wataibua kero na miradi ya utekelezaji.
  • Kuwapatia elimu ya ujasiriamali na kuwawezesha kupitia mfuko wa Wanawake na vijana.
  • Kuhakikisha watoto wote wenye umri wa kwenda shule wanaandikishwa
  • Kuhamasisha wanachi kujitokeza na  kufanya usafi katika mazingira yanayowazunguka kwa kila siku  na pia kwa kuzingatia ratiba  iliyowekwa na jiji. 

Matangazo

  • KUSITISHWA KWA TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA BONDENI CITY December 06, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI March 14, 2023
  • TANGAZO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KUHUSU KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA MAOMBI YA MIKOPO YA HALMASHAURI July 14, 2022
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA August 11, 2022
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YATIA FORA UGAWAJI WA MIKOPO, YAMWAGA ZAIDI YA BILIONI 2 ZA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    March 22, 2023
  • JIJI LA ARUSHA LATIA FORA UGAWAJI WA MIKOPO, LAMWAGA ZAIDI YA BILIONI 2 ZA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    March 22, 2023
  • JIJI LA ARUSHA LATIA FORA UGAWAJI WA MIKOPO, LAMWAGA ZAIDI YA BILIONI 2 ZA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    March 22, 2023
  • ZIARA YA KAMATI YA SIASA MKOA WA ARUSHA KATIKA HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHAA

    March 21, 2023
  • Tazama zote

Video

ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa